Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote zinazotokeea kwenye mitandao ya kijamii, Na leo April 10 2017 Kupitia ukurasa wa Instagram ya Mkali kutoka Bongoflevani Baraka the Prince ameupost wimbo mpya wa Diamond Platnumz.
Mashabiki wengi wamekuwa wakicomment kwa kushangazwa na Baraka kupost wimbo wa Diamond kwa sababu wengi wanajua Baraka yuko kwenye lebel moja na Alikiba hivyo asingeweza kupost chochote kuhusu Diamond Platnumz, wengine wamecomment kwa kutopendezwa na post hiyo wengine wamepost kumpongeza.
‘Barakahtheprince_Chanzo cha kutengenezewa maden na makaka poa..ila mama alinifunza kukaa kimya..eeehh mungu niokoe vita hii..#CrownPrince #IamPrince‘
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka