BASATA YAFAFANUA SABABU ZA KUTOKUFANYIKA KWA TUZO ZA WASANII KTMA | BONGOJAMII

BASATA YAFAFANUA SABABU ZA KUTOKUFANYIKA KWA TUZO ZA WASANII KTMA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Miongoni mwa maswali mengi yalikuwa yakiulizwa na watu wengi ni kuhusiana na utoaji wa tuzo za KTMA, sasa leo April 4, 2017 Mkuu wa matukio ya sanaa kutoka BASATA, Kurwijira Maregesi kayaongea kwa mara ya kwanza na kueleza sababu za kutofanyika kw tuzo za hizo na vile ambavyo watu wengi utarajia kufanyika kwa kila mwaka.

TBL iliacha kudhamini baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine kwahiyo yule mtu aliekuja kumiliki TBL akuweza kufanya maamuzi yaliyokuwa yakifanywa na kama na yule wa mwanzo lakini pia sasa hivi kuna mpango wa kutafuta mdhamini wa Tanzania Music Awards naomba tu watu wavumilie’- Kurwijira Maregesi
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts