GWAJIMA AMGEUKIA MBUNGE HALIMA MDEE, ATAKA AKAMUOMBE RADHI | BONGOJAMII

GWAJIMA AMGEUKIA MBUNGE HALIMA MDEE, ATAKA AKAMUOMBE RADHI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Leo Askofu Gwajima amemuongelea Halima Mdee katika Mahubiri yake na amemtaka Mbunge huyo kuacha mara moja kumtukana Spika akiwa Bungeni maana ni moja ya Mhimili wa Dola.

Amesema kuwa Halima Mdee asipoomba msamaha kwa tukio la kumuita fala Spika basi Jumapili ijayo atamchapa ipasavyo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts