Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Kupitia XXL ya Clouds FM leo April 19, 2017 Mavoko amesema hayo baada ya kuulizwa kuhusu jina la mtoto wake na kusema:“Mwanangu anaitwa Wency, ni jina la baba yake Dokii. Mimi na Dokii ni ndugu.” – Rich Mavoko.
Pamoja na hilo, Mavoko amezungumzia kuhusu kubadili style ya nywele pamoja na tuzo ya jiwe la mwezi ambapo akisema: ”Nimeamua mwenyewe nibadilishe muonekano wangu wa nywele. Kuhusu cheti nilichopata kwenye Jiwe La Mwezi, kwangu ni kitu kikubwa sana na asanteni kwa kutupa thamani wasanii.” – Rich Mavoko.