MANENO YA PROF KITILA BAADA YA KUAPISHWA | BONGOJAMII

MANENO YA PROF KITILA BAADA YA KUAPISHWA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Prof. Kitila amesema katika maisha yake ametumia muda mwingi kuihoji serikali lakini kwa sasa Rais amempa kazi ya kujibu alichokuwa anakihoji serikalini.

''Ukipewa kazi na Mkuu wa Nchi unashukuru Mungu na jukumu langu ni kufanya kazi kwa bidii. Ninaahidi nitakusaidia wewe na Mweshimiwa Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kuhakikisha kwamba ajenda yako ya kuwafikia Watanzania na kuwaboreshea maisha tunaifanikisha'' Prof. Kitila Alisema.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts