Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Nay amefunguka hayo baada ya kuulizwa kuhusu maneno aliyoyaweka kwenye mtandao wake wa Instagram siku moja baada ya kupatikana kwa msanii Roma pamoja na wenzake wanne ambao inasemekana walitekwa na watu wasiofahamika.
"Ni dhambi kubwa watu kuhusisha post zangu n a tukio la Roma kwa sababu mimi sikumlenga mtu yeyote yule. watu wameamua kuunganisha tukio la Roma na post zangu kwa sababu ya mihemko waliyokuwa nayo. Mimi nina washkaji wachahe sana na Roma ni mshkaji wangu sana na ninaamini alipata matatizo kweli. Watanzania nao naomba wamuamini kwa kipindi hiki ambacho anauguza majeraha lakini pia wamsapoti tukianza ku-coment vitu vya tofauti tutaharibu hata carrier yake na yule ni msanii hii ndiyo ajira yake" - Alisema Nay wa Mitego.
Hii ndiyo post ya Nay iliyozua gumzo baada ya Roma kupatikana
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka