OMMY DIMPOZ AZUNGUMZIA KUPETEA KWAKE KWENYE MUZIKI | BONGOJAMII

OMMY DIMPOZ AZUNGUMZIA KUPETEA KWAKE KWENYE MUZIKI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.

MWANAMUZIKI Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ametoa povu kufuatia madai kuwa, hivi sasa kapotezwa na vijana wadogo wanaolazimisha ‘kuvaa viatu vyake’.

Akipiga stori na Showbiz, Dimpoz alisema hajapotea kwenye gemu kama mashabiki wanavyomchana mitandaoni na kwamba ukimya wake wa muda unatokana na yeye kujipanga katika kuandaa kazi mpya ili iweze kufanya vizuri atakapoiachia.

“Siyo kweli kuwa nimepotea, kwanza najiandaa kuachia kazi mpya ambayo ina ubora wa hali ya juu, wanaosema nimepotea wasubiri waone maajabu yangu,” alisema Dimpoz.

Featured Posts