RAIS KENYATA AFUNGUKA KUHUSU MADAKTARI WALIOGOMA KENYA | BONGOJAMII

RAIS KENYATA AFUNGUKA KUHUSU MADAKTARI WALIOGOMA KENYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Leo April 5 2017 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuwa madaktari waliokuwa katika mgomo walipwe mishahara yao yote ya kipindi cha miezi mitatu bila kujali kuwa walikuwa wamegoma hii ni baada ya katibu Mkuu wa chama cha madaktari kuitaka serikali iwalipe mishahara yao ya tangu December 2016.

Wakati akihutubia mkutano wa chama cha Jubilee uliofanyika katika kaunti ya Kiambu Rais Uhuru Kenyatta aliwataka madaktari kutogoma tena kwani hatokuwa na huruma kwa wakati mwingine.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts