Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Wakati Serengeti Boys wakielekea kwenda nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kupata naye chakula cha jioni kwa mwaliko wake, maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), walilikamata basi wanalotumia na kuwashusha njiani. Viongozi wa Serengeti Boys walilazimika kutafuta basi jingine kuitikia mwaliko wa Mama Samia. Huenda walichelewa mwaliko kutegemea kupatikana kwa usafiri mwingine.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka