TFF YATANGAZA TAREHE YA MKUTANO MKUU... | BONGOJAMII

TFF YATANGAZA TAREHE YA MKUTANO MKUU...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Shirikisho la Soka Tanzania TFF, limetangaza kufanya Mkutano wake Mkuu siku ya Jumapili ya Agosti 12, 2017.

Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana leo Jumapili Aprili 9, 2017 ambapo miongoni mwa ajenda katika mkutano huo, itakuwa ni uchaguzi mkuu wa TFF.

Kwa mujibu wa Katiba, uchaguzi huo utachagua Rais wa TFF, Makamu Rais wa TFF na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts