VIDEO: HALIMA MDEE AWAFUNGUKIA WABUNGE WANAOSHINDWA KUIAMBIA SERIKALI UKWELI | BONGOJAMII

VIDEO: HALIMA MDEE AWAFUNGUKIA WABUNGE WANAOSHINDWA KUIAMBIA SERIKALI UKWELI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo April 10, 2017 kuchangia maoni yao kuhusu mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts