WOLPER AZUA UTATA BAADA YA KUANDIKA MANENO HAYA KWENYE BIRTHDAY YA MSANII K-CEE | BONGOJAMII

WOLPER AZUA UTATA BAADA YA KUANDIKA MANENO HAYA KWENYE BIRTHDAY YA MSANII K-CEE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Ishu ya muigizaji staa wa Bongo movie Jackline Wolper kumpost muimbaji KCEE wa Nigeria.
Wolper ameposti picha hiyo kwenye account yake ya Instagram kwa dhumuni la kumtakia heri ya kuzaliwa msanii huyo kitu ambacho ni kawaida ambacho hufanywa na watu wengi, lakini kilichozua utata ni maneno aliyoandika kuambatana na picha hiyo.
Happy birthday handsome
Always a good time with you
I gat mad love for you and you know it
God bless you @iam_kcee @iam_kcee akiwa anamaanisha “Heri ya siku ya kuzaliwa handsome. Siku zote nakuwa na wakati mzuri nawe. Nina upendo usioelezeka kwako na unafahamu.” – Jackline Wolper.
Kitu kingine kilichosababisha mashabiki kuongea ni baada ya Jackline Wolper kutoa picha yake kwenye DP yake ya Instagram (ile picha ya juu ambayo msanii anaweka kama utambulisho wake) na kuweka picha ya msanii huyo kutoka Nigeria.

Featured Posts