CCM MKOANI ARUSHA WATIMUANA TENA | BONGOJAMII

CCM MKOANI ARUSHA WATIMUANA TENA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole 
Arusha.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewafukuza viongozi wake katika kata nne kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo matumizi mabaya ya fedha na mali za chama hicho.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole ametangaza leo uamuzi huo na kuelezea CCM haitawavulia wanachama wake wabadhirifu

Viongozi waliofukuzwa na wa kata za Themi, Sombetini, Unga LTD na Sekei.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts