HATIMAYE FIFA WAWEKA HADHARANI MAJIBU YA SIMBA KUHUSU POINT TATU | BONGOJAMII

HATIMAYE FIFA WAWEKA HADHARANI MAJIBU YA SIMBA KUHUSU POINT TATU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Shirikisho la Soka la Kimataifa limerudisha majibu ya rufaa ya Simba na kusema, matokeo yanaendelea kubaki kama yalivyo.

Hivyo, kwa majibu hayo ya Fifa, Yanga wanaendelea kubaki mabingwa wa Ligi Kuu Bara na Simba wakiwa katika nafasi ya pili.

Featured Posts