HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA BARCELONA | BONGOJAMII

HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA BARCELONA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Ernesto Valverde
Klabu ya Barcelona imemtanga rasmi kocha wa zamani wa Athletic Bilbao Ernesto Valverde kuwa kocha wao mkuu mpya

Valverde ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Barcelona,wiki iliyopita alitangaza kuwa anaondoka Athletic baada ya kudumu klabuni hapo kwa takriban miaka minne.

Meneja huyo, mwenye umri wa miaka 53, atamrithi Luis Enrique, ambaye alitangaza tangu mwezi Machi mwaka huu kwamba anaondoka Barcelona baada ya mkataba wake wa miaka mitatu kumalizika.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts