MARUFUKU KUUZA VYAKULA MITAANI ZANZIBAR | BONGOJAMII

MARUFUKU KUUZA VYAKULA MITAANI ZANZIBAR

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Zanzibar yapiga marufuku wauzaji wa chakula mitaani kufuatia mlipuko wa kipindupindu

Serikali ya Zanzibar, imepiga marufuku wauzaji wa chakula mitaani kufuatia mlipuko wa kipindupindu visiwani humo. Kaimu waziri wa afya na huduma za kijamii wa Zanzibar Bi. Riziki Juma amesema hali mbaya ya usafi imetokea baada ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa kuvikumba visiwa hivyo, na kusema serikali ya Zanzibar pia imewazuia watu kuwaalika wengine kufuturu. Uamuzi huo umefikiwa baada ya matukio 23 za maambukizi ya kipindupindu kuripotiwa visiwani humo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts