MBUNGE WA CHADEMA JOHN HECHE , HALI YAKE SI SHWARI | BONGOJAMII

MBUNGE WA CHADEMA JOHN HECHE , HALI YAKE SI SHWARI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Hali ya Mbunge wa Tarime Vijijini Mh. John Heche imebadilika usiku wa kuiamkia leo na amekimbizwa hospitalini Dodoma. Huenda akahamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tumuombee comrade Heche na pole sana kwa familia na wabunge wenzake.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts