Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chakwepa kuzungumzia taarifa za kukamatwa kwa moja ya vijana wa Chama Hicho Yericko Nyerere kwa madi kwamba suala hilo wanalishughulikia na kwamba sasa wanamsiba mzito wa Mwasisi wa Chama hicho Mzee Philemon Ndesamburo.
Mzee Ndesamburo amefariki jana katika Hospital ya KCMC Moshi baada ya kuugua ghafla.
Katibu Mkuu wa Chama hicho Dk Vincent Mashinji aliulizwa na waandishi wa habari juu ya taarifa za kijana ambaye kuna taarifa ya kwamba amekamatwa alipokuwa nyumbani kwake kigamboni.
hata hivyo .
hata hivyo Dk Mashinji ameeleza kuwa kifo cha Mzee Ndesamburo ni pigo kwa chama hicho.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka