Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Harmorapa
Kupitia mtandao wa instagram Harmorapa ameandika, “Maisha ni safari ndefu na mpangaji ni mwenyezi Mungu. Ukweli sikuwahi kuwaza katika maisha yangu kama ipo siku nitatimiza moja ya ndoto yangu ya kupanda ndege.
So ndugu zangu nawasihi ni mwiko kukata tamaa, omba Mungu sana atakutimizia ndoto zako. Shukrani #bossladySabuka kwa kunifikisha hapa nilipo, leo pia naomba Mungu ajalie aendelee kua na moyo huo wa kizungu maana kiukweli ni mzungu wa pekee.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka