Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Waombelezaji, Marafaiki na wanasiasa wenzake Marehemu Mzee Philemon Ndesamburo tayari wameshaanza kufika kwenye nyumba ya marehemu kuwafarii na kushikiana na ndugu kwenye msiba huo.
nyumba ya Marehemu Ndesamburo
Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akisalimia na Mbungwe wa Selasini wa Jimbo la Rombo
nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo
madiwani na viongozi mbalimbali wa Manspaa ya Moshi
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka