HII APA RATIBA YA MAZISHI YA MZEE NDESAMBURO | BONGOJAMII

HII APA RATIBA YA MAZISHI YA MZEE NDESAMBURO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Kwa wale ambao wangependa kujua kuhusiana na ratiba ya mazishi ya kumpumzisha mzee wetu Mh Philemon Ndesamburo ambaye alikuwa mbunge wa Jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya CHADEMA kabla ya kustaafu ni kwamba ipo hivi : 

Tarehe 5/06 siku ya Jumatatu katika uwanja wa Mashujaa Moshi ndipo ndugu jamaa na marafiki na wageni watapata fursa ya kutoa heshima za mwisho.

Tarehe 6/06 siku ya Jumanne ndiyo siku rasmi ya kumpumzisha mzee, ibada ya mazishi inategemewa kufanyika nyumbani kwake kdc-kiboroloni na ndipo atakapozikwa.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts