IRENE PAUL AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA | BONGOJAMII

IRENE PAUL AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Add caption
MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul anadaiwa kufunga ndoa na mpenzi wake na kufanya sherehe kimya kimya na kuhudhuriwa na watu wachache.

Irene amesema hakupendelea picha za mume wake zionekane kwani hapendelei maisha yake nje ya kazi yafahamike sana.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts