TANZIA: TANZANIA YAPATA MSIBA WA BALOZI HUYU | BONGOJAMII

TANZIA: TANZANIA YAPATA MSIBA WA BALOZI HUYU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Cisco Mtiro alikuwa Balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia, Singapore na Laos.

Kwa mujibu wa familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B jijini Dar es salaam ambapo aratibu za mazishi zinaendelea na taarifa zitatolewa mara tu zitapokamilika.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi – AMINA

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts