BREAKING NEWS: OFISI ZA FATMA KARUME NA LAWRENCE MASHA ZAWAKA MOTO | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: OFISI ZA FATMA KARUME NA LAWRENCE MASHA ZAWAKA MOTO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Muonekano wa mbele wa ofisi hizo huku moto ukiendelea kuwaka.

Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam, zimewaka moto leo asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Chanzo cha moto huo na hasara iliyosababishwa, bado havijafahamika na habari zaidi zitaendelea kukujia.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts