BREAKING NEWS: UHURU KENYATA ATANGAZWA KUWA MSHINDI WA KITI CHA URAIS KENYA | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: UHURU KENYATA ATANGAZWA KUWA MSHINDI WA KITI CHA URAIS KENYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya IEBC Wafula Chebukati amemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Urais uliofanyika Jumanne August 8, 2017 ambapo amepata kura 8,203,290 na angalau 25% ya kura katika Kaunti 35.

Uhuru Kenyatta ambaye anarudi kwenye uongozi kwa muhula wa pili amekabidhiwa Cheti cha ushindi pamoja na Mgombea mwenza William Ruto.

MATOKEO YOTE YA URAIS

Jumla ya wapiga kura waliojiandikisha 19,611,423
Ekuru Aukot 27,311 (0.18)
Abduba Dida 38,093 (0.25)
Cyrus Jirongo 11,705 (0.08)
Japheth Kaluyu 16,482 (0.11)
Uhuru Kenyatta 8,203,290 (54.27)
Michael Wainaina 13,257 (0.09)
Joseph Nyagah 42,259 (0.28)
Raila Odinga 6,762,224 (44.74)

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts