Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Janga hilo limesemekana kuwa baya zaidi barani Afrika kuwahi kutokea baada ya mlima Sugar Loaf kuanguka upande mmoja kufuatia mvua kubwa iliyonyesha .
Watu 461 walifariki katika janga hilo na kadhaa bila kujulikana waliko .
Siku ya Jumapili miili 500 ilipatikana na kuzikwa mara moja .
Siku ya Ijumaa shirika la msalaba mwekundu lilifahamisha kuwa watu 600 walikuwa hawajulikani walipo .
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka