Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Leo August 20, 2017 Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma amemjibu Mbunge Lissu akisema Watanzania wanatakiwa kuendelea kujenga uchumi wa nchi.
”Nimemsikiliza Tundu Lissu lakini tumesikiliza pia majibu ya Serikali yaliyotolewa na Msemaji wa Serikali. Kikubwa ni kuwaomba Watanzania tuendelee kujenga uchumi wetu wa Serikali ya viwanda. Kutoka kwenye uchumi tuliokuwa nao mpaka hapa tulipo na tunakoelekea.”
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka