Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Kanisa hilo lenye waumini zaidi ya 1,500 limekuwa kwenye mgogoro na kampuni ya Swale Traders limited wa kugombania kiwanja namba 141 kitalu D kilichopo mtaa wa Evereth Manispaa ya Temeke.
Kanisa hilo limedai limepatiwa notisi ya kutakiwa kuondoka kwenye kiwanja hicho ifikapo kesho jumatatu.
Kwa mujibu wa Kanisa la Evangelistic Assembly of God lililopo Temeke jijini Dar es salaam Mgogoro huo umedumu kwa muda wa miaka 39 sasa.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka