TUNDU LISSU APELEKWA NYUMBANI KWAKE KUPEKULIWA | BONGOJAMII

TUNDU LISSU APELEKWA NYUMBANI KWAKE KUPEKULIWA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake na Polisi kwa ajili ya kupekuliwa.


Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi baada ya kummakata jana alipokuwa anatoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni kuhojiwa kwa makosa mawili. 


Kosa la kwanza ni kumkashifu Rais, na kosa la pili ni la uchochezi dhidi ya ndege za serikali kuzuiwa Canada

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts