BREAKING NEWS, RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI | BONGOJAMII

BREAKING NEWS, RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017.


Katibu Mkuu Ntalikwa aliteuliwa Desemba 2015 na kuapishwa Ikulu Januari 2, 2016.


Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, nafasi yake itajazwa hapo baadaye.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts