CCM YAKANUSHA TAARIFA ZILIZOSAMBAA MTANDAONI KUWA KOMRADE KINANA ATAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO | BONGOJAMII

CCM YAKANUSHA TAARIFA ZILIZOSAMBAA MTANDAONI KUWA KOMRADE KINANA ATAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Tumekuwa tunapokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari, na pia kuna wengine wamefika mpaka ofisini, kuuliza au kuja kuhudhuria kikao baina yao na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana, asubuhi hii.


Napenda kuwafahamisha kwamba hata sisi wenyewe tumesoma tu tangazo hilo kwenye moja kati ya post za humu, hivyo naomba msihangaike nalo kwa sababu ni uzushi.


Katibu Mkuu mwenyewe yupo safarini nje ya nchi karibu wiki nzima hii.


Nawasilisha kwenu kwa taarifa sahihi.


Charles Charles
Idara ya Itikadi na Uenezi


Tarehe 24 Machi, 2017


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts