HIKI NDICHO ALICHOANDIKA MH ZITO BAADA YA KUMTEMBELEA NAPE NYUMBANI KWAKE | BONGOJAMII

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA MH ZITO BAADA YA KUMTEMBELEA NAPE NYUMBANI KWAKE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Nimetoka nyumbani Kwa Mbunge wa Mtama ndg Nape Nnauye kumpa Salam zangu za mshikamano na kumtia moyo katika majukumu yake ya kuhudumia watu wa Mtama Lindi na Tanzania Kwa ujumla. 


Amenieleza kuwa anakwenda jimboni kwake ndani ya siku chache zijazo. Nataraji watu wa Lindi, bila kujali itikadi za vyama vyetu vya siasa, watampa mapokezi anayostahili

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts