HATIMAYE TANZANIA KUISAIDIA KENYA MADAKTARI 500 | BONGOJAMII

HATIMAYE TANZANIA KUISAIDIA KENYA MADAKTARI 500

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Rais Magufuli akubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo Ikulu yathibitisha.


Rais Magufuli amekubalina na ombi hilo leo tarehe 18 March 2017 baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenyatta.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts