HATIMAYE JIKESHUPA AFUNGUKA , BAADA YAPICHA ZAKE ZA KUSAGANA NA MWANAMKE MWENZAKE KUSAMBAA | BONGOJAMII

HATIMAYE JIKESHUPA AFUNGUKA , BAADA YAPICHA ZAKE ZA KUSAGANA NA MWANAMKE MWENZAKE KUSAMBAA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Video Queen ambaye alishiriki katika video ya Nuh Mziwanda 'Jike Shupa' na kujipatia jina la Jike Shupa amefunguka na kusema yeye si msagaji ila pombe ndiyo zilipelekea yeye kum kiss video quen Nai na kusema kitendo hicho kinamfanya ajisikie vibaya


Jike Shupa aliyasema hayo jana kwenye kipindi cha Friday Night Live na kuwaomba msahama Watanzani wamsamehe kwa kitendo kile alichokifanya kwa mdada mwenzake.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts