JIONEE JINSI GANI TUNDU LISSU ALIVYOANDIKA HISTORIA MPYA TANZANIA | BONGOJAMII

JIONEE JINSI GANI TUNDU LISSU ALIVYOANDIKA HISTORIA MPYA TANZANIA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa.


Mwanasiasa Julius Mtatiro ambaye kwa sasa yupo jijini Arusha amethibitisha ushindi huo wa Tundu Lissu 


"Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 84% ya kura zote." Ameandika Julius Mtatiro

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts