NAPE AANDIKA MANENO MAZITO LEO KWENYE UKUTASA WAKE WA TWITTER | BONGOJAMII

NAPE AANDIKA MANENO MAZITO LEO KWENYE UKUTASA WAKE WA TWITTER

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Jana Rais Magufuli alitengua uteuzi wa Nape Nnauye na nafasi yake akapewa Dr. Mwakyembe.


Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.


Nape alilazimika kuzungumza akiwa juu ya gari lake.Hata hivyo, polisi waliingilia kati


Leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa twitter, ametoa ujumbe kwa wanahabari nchini ambapo ameandika: "Wanahabari mme GUSA sana moyo wangu!Sikujua kama mnanipenda na kunithamini kiasi KILE!Nawashukuru SANA kwa kujitolea kwenu!Nawapenda SANA!"


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts