Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Taarifa zilizo tufikia hivi punde kuwa Kuna mwanamke moja ambaye alikuwa ndani ya Boti ya Azam Marine Kilimanjaro 5 ikitokea Zanzibar kuja Dar ilipofika maeneo ya Chumbe Mwanamke huyo alijitosa kwenye Bahari huku Boti hiyo ikiwa kwenye mwendo ndipo Boti ikasimama na kuanza kumuokoa..
Hata hivyo haijafahamika nikitu gani kilicho sababisha Mwanamke huyo kujirusha kwenye maji.
ANGALIA VIDEO HII..
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka