GWAJIMA AIBUA MAZITO KANISANI KWAKE, ADAI AMETISHIWA KIFO NA HATOMALIZA WIKI HII AKIWA SALAMA | BONGOJAMII

GWAJIMA AIBUA MAZITO KANISANI KWAKE, ADAI AMETISHIWA KIFO NA HATOMALIZA WIKI HII AKIWA SALAMA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema kuwa ametishiwa kifo na kundi la watu asiowafahamu.


Gwajima amesema hayo alipokuwa akihubiri katika kanisa lake Ubungo, Jijini Dar es Salaam na kudaiwa kuwa vitisho hivyo vilikuja kwa njia ya ujumbe ukimtahadharisha kuwa hatamaliza wiki inayoanza.


Gwajima ni miongoni mwa washukiwa waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts