KUUGUZA MTOTO KUMEMFANYA APUNGUE KILA TATU- IRENE UWOYA | BONGOJAMII

KUUGUZA MTOTO KUMEMFANYA APUNGUE KILA TATU- IRENE UWOYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Irene Uwoya amesema amepungua takriban kilo tatu mwilini kutokana na kuugua kwa mtoto wake wa kipekee Krish, mpaka kusababishwa kufanyiwa upasuaji mdogo kitu ambacho kilikuwa kikimnyima raha.

Akizungumza na Mikito Nusunusu, Uwoya alisema mtoto wake alikuwa na tatizo kubwa ambalo hakupenda kuliweka wazi kwenye vyombo vya habari lakini anamshukuru Mungu kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kutibiwa.

“Jamani usisikie kuuguliwa na mtoto, nilikuwa nashindwa hata kula chakula ndiyo maana nimepungua,” alisema Uwoya.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts