Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
MKALI wa Voko kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amefunguka kuwa hakuacha unga kwa kwenda soba bali alipewa ushauri na kuufanyia kazi.
Mikito Nusunusu ilizungumza na Q-Chillah ambaye alisema kuwa kuacha kwake unga si kwa kwenda soba bali alipewa ushauri na jamaa yake anayejulikana kwa jina la Rajabu ‘Njiksi’.
“Namshukuru Njiksi yeye ni sehemu ya maisha yangu, ndiye aliyenitoa kwenye matumizi ya dawa za kulevya pasipo kwenda soba, jamaa ni rasta ila ukikaa naye utagundua kuwa ana mtazamo mzuri na wa busara kwa sisi wasanii,” alisema.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka