WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA ENEO YALIPOTOKEA MAUAJI YA ASKARI 8 | BONGOJAMII

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA ENEO YALIPOTOKEA MAUAJI YA ASKARI 8

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewasili eneo yalipotokea mauaji ya askari wanane katika kijiji cha Jaribu, Wilayani Kibiti.


Waziri Nchemba ameambatana na naibu wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni.


Nchemba atatembelea kambi za askari polisi wa kanda ya Pwani na katika kata ya Bungu wilayani Kibiti.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts