LIVE KUTOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AKIMUAPISHA SIMON SIRRO KUWA IGP | BONGOJAMII

LIVE KUTOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AKIMUAPISHA SIMON SIRRO KUWA IGP

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Tazama moja kwa moja kutoka Iluku muda huu, leo Mei, 29, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha rasmi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), kufuatia uteuzi wake uliofanyika jana Mei 28, 2017.


Kabla ya uteuzi huo, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam. 


Bofya hapo chini kutazama

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts