WATANZANIA HAWA KUJIUNGA NA MANCHESTER | BONGOJAMII

WATANZANIA HAWA KUJIUNGA NA MANCHESTER

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. George Harrison Mwakyembe.
Watoto wawili wa Kitazania wenye umri wa miaka 12 Daudi pamoja na Malimi wameondoka jana usiku nchini na kuelekea nchini Uingereza kujiunga na Manchester City Academy

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. George Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa kama vijana hao watafanikiwa katika majaribio hivyo watakuwa ni Watanzania wa kwanza kujiunga na Academy hiyo.

Wamekwenda kujiunga na Manchester City Academy kwa ufadhili wa kampuni ya TECHNO Tanzania. Wakifaulu majaribio ya kujiunga, watakuwa Watanzania wa kwanza kujiunga na academy hiyo na baadaye kuchezea Manchester City" alisema Waziri Mwakyembe




Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts