Exclusive==>>Makampuni Yamiminika Kudhamini 40 ya Mtoto wa Diamond. | BONGOJAMII

Exclusive==>>Makampuni Yamiminika Kudhamini 40 ya Mtoto wa Diamond.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD



Watoto wa Diamond Platnumz huzaliwa wakiwa na harufu za ustaa unaotoka kwa baba na mama yao, Zari The Bosslady. Wakati Tiffah akiendelea kushikilia taji la mtoto staa kuliko wote Afrika, mdogo wake Nillan yuko nyuma kufuata nyayo zake.


Makampuni takriban matano yamejitokeza kudhamini sherehe za Nillan kutimiza siku 40, ambapo kwa mara ya kwanza sura yake itaoneshwa. Sherehe hizo zitafanyika wiki moja ijayo.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts