KIMENUKAAA, CLOUDS TV WAVIGEUKA VYAOMBA VYA HABARI KUHUSU RC MAKONDA, WAMSIFIA HADHARANI KWA KUWAKARABATIA UWANJA | BONGOJAMII

KIMENUKAAA, CLOUDS TV WAVIGEUKA VYAOMBA VYA HABARI KUHUSU RC MAKONDA, WAMSIFIA HADHARANI KWA KUWAKARABATIA UWANJA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Hatimaye Clouds Fm Kupit Kipindi chake cha Clouds Sport Bar Wamekiuka Agizo la Jukwaa la Waharii Nchini kwa Kumsifia Mkuu wa Mkoa wa Dar ,Mhe Paul Makonda.


Katika Kipindi Hiko watangazaji wa clouds tv walimsifu Mhe Makonda kwa jitihada zake za kuuboresha uwanja wa Bandari ambao utatumika kwa michuano ya Ndondo Cup.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts