MAALIM SEIF AICHARUKIA CCM | BONGOJAMII

MAALIM SEIF AICHARUKIA CCM

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Katika mkutano wake Waandishi wa Hbari Leo Jijini Dar es salaam, Maalim Seif asema Mgogoro unaoendelea CUF ni hujuma za Chama Tawala(CCM). Lengo la mkakati sio CUF, ni kuua UKAWA na upinzani.

Hizi ni hujuma zilizopangwa na Dola ili kuua Upinzani nchini na kunyamazisha kila anayethubutu kuikosoa Serikali.

Atoa wito kwa wazanzibari na wanaoiunga mkono CUF kusimama imara na kukilinda chama hicho kwani ieleweke kuwa Chama kinachotokea kwenye mgogoro huwa kinakuja juu sana. Nikimaliza ziara Zanzibar nitaanza jijini Dar es Salaam.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts