HIKI NDICHO ATAKACHOFANYWA CHA KWANZA GWAJIMA SIKU AKITETWA | BONGOJAMII

HIKI NDICHO ATAKACHOFANYWA CHA KWANZA GWAJIMA SIKU AKITETWA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezungumzia suala la utekwaji na kusema kuwa endapo watajaribu kumteka atapiga picha kwa kutumia simu yake kwanza na kutuma kwenye mitandao ya kijamii kisha ndipo ataondoka na watekaji hao.


Akizungumza kanisani kwake leo, Gwajima alisema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiye anayejua alipokuwa mwanamuziki Roma Mkatoliki.


“Nampenda sana Rais wangu, lakini huyu Bashite analeta picha mbaya. Alisema atapatikana kabla ya Jumapili maana yake unayeee,” alisema

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts