VIDEO: MATUKIO YOTE, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MPAKA ROMA NA WENZAKE KUACHIWA | BONGOJAMII

VIDEO: MATUKIO YOTE, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MPAKA ROMA NA WENZAKE KUACHIWA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya usiku wa jana Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wenzao wawili kuachiwa salama baada ya kutekwa na watu wasiojulikana alhamisi iliyopita wakiwa studio za Tongwe Record Masaki jijini Dar es salaam, Bongo5 imekukusanyia matukio yote pamoja na kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na viongozi pamoja na wadau mbalimbali katika harakati za kupatika kwa Roma na wenzake.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts