NAPE ATOA UFAFANUZI JUU YA KITENDO CHAKE CHA KUTEMBEA JUU YA MIGONGO YA WANAWAKE | BONGOJAMII

NAPE ATOA UFAFANUZI JUU YA KITENDO CHAKE CHA KUTEMBEA JUU YA MIGONGO YA WANAWAKE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mbunge wa Jimbo la Mtamba Nnape Mnauye ameeleza kuwa kitendo cha yeye kutembea akiwa juu ya migongo ya wanawake wa Jimbo hilo ni kwamba ni ishara ya heshima kubwa aliyopewa
nape ameeleza kuwa angekataa angetoa ishira ya Dharau na kwamba isingewezekana na kukataa.


huu ndio ufafanuzi wake kwenye mtandao wa Twiter


aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo akihoji kitendo hicho cha kimila




Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts