VIDEO==>MAKONDA AIBUA UFISADI WA ZAIDI YA BILLION 7 JIJINI DAR | BONGOJAMII

VIDEO==>MAKONDA AIBUA UFISADI WA ZAIDI YA BILLION 7 JIJINI DAR

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Leo April 4, 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekutana na Waandishi wa Habari Jijini humo na kuwaeleza kuwa amebaini ufisadi wa zaidi ya Takribani Tsh Bilioni 7 katika zoezi la tathmini ya malipo ya fidia kwa wakazi wa jiji hilo waliotakiwa kupisha upanuzi wa barabara na ujenzi wa Mifereji sambaamba na uboreshaji wa mji. Alichokisema kuhusu Takukuru na walioshiriki kwenye ubadhirifu huo? vyote ameeleza kwenye Video Hapo chini...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts